Naomba wasifu wa mtafsiri wa movies na series za abroad anaefahamika kwa jina la OMMY DJ

Naomba wasifu wa mtafsiri wa movies na series za abroad anaefahamika kwa jina la OMMY DJ

Bado hamfikii Mkandala Lufufu....

1737413525799.png
 
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.

Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana hategemei subtittle.

Ukiachana na hayo napenda sana atafsiri movie yenye maudhui ya kijasusi na ki diplomasia anakueleza kila kitu clear, anajua mambo ya vita, mambo CIA, MOSSAD,FBI,TISS, mambo ya kila nchi mfano historia za miji kama timbuktu sijui mipaka ya kazakstan daaah!! plus matukio fiche ambayo hata kuyasikia kwingine ni nadra sana mpaka huwa nasema au katoroka kwenye system.

Mfano nlikuwa nachek series moja ya kijasusi inaitwa (agent x) kukawa na scene inazungumzia biological weapons sasa mule wameeleza kdogo na tukio kidogo tu. sasa acha huyu mwamba aanze kuleta nondo zake kuanzia ilpoanzia yaani ilipopigwa marufuku daah.

Mambo inside kabisa ya Marekani mpaka huwa nachoka hebu mwenye wasifu wake anaweza ongezea nyama ili nikija kuunganisha dots zangu ntapata majibu. lets go....
Lipia tangazo
 
Binafsi muvi ikishatafsiriwa hasa kwa namna hiyo ya hao madj napoteza mzuka hata wa kuicheki, wengi wanadanganya sana.
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kuwa na low IQ, kupenda bongo movies na kuangalia movies ZILIZOTAFSILIWA....🚮🚮
 
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.

Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana hategemei subtittle.

Ukiachana na hayo napenda sana atafsiri movie yenye maudhui ya kijasusi na ki diplomasia anakueleza kila kitu clear, anajua mambo ya vita, mambo CIA, MOSSAD,FBI,TISS, mambo ya kila nchi mfano historia za miji kama timbuktu sijui mipaka ya kazakstan daaah!! plus matukio fiche ambayo hata kuyasikia kwingine ni nadra sana mpaka huwa nasema au katoroka kwenye system.

Mfano nlikuwa nachek series moja ya kijasusi inaitwa (agent x) kukawa na scene inazungumzia biological weapons sasa mule wameeleza kdogo na tukio kidogo tu. sasa acha huyu mwamba aanze kuleta nondo zake kuanzia ilpoanzia yaani ilipopigwa marufuku daah.

Mambo inside kabisa ya Marekani mpaka huwa nachoka hebu mwenye wasifu wake anaweza ongezea nyama ili nikija kuunganisha dots zangu ntapata majibu. lets go....
Noma sana. Watafsiri movie wana kamba sana muda mwingine wanaharibu kabisa story na kueleza vitu tofauti. Movie pekee ninazoweza kutazama ni zile zilizokuwa dubbed kwa lip sync tena professionally.
Otherwise bora nisome subtitles kama lugha haieleweki. Nilikuja kugundua nilikuwa nadanganywa baada ya kurudia kutazama movie za zamani zilizokuwa zinatafsiriwa na Mkandara Rufufu (RIP). Alikuwa anatupiga kamba sana na kubadilisha hata story.
Ukinipatia movie iliyotafsiriwa na hawa maDJ siwezi kuitazama kabisa.
 
Ni Faza mmoja hivi, nakumbuka nikiwa yanki kabisa alikuwa anatangaza picha Arusha na Mererani BCBG.
Karibuni amekuwa aki record na Full Respect Family ya DJ Murphy na Pirates Studios
Miongoni mwa MaDJ wa mwanzo kurecord movie za kutafsiri, kwenye kanda za VHS.
Binafsi naona anajua sana History na geography. Ingawa ni muongo pia kwaajili ya kunogesha.

Kama amefungiwa(au sijaelewa) itakuwa kwasababu ana tukana wakati mwingine, hasa mtu mweusi akinyanyaswa na watu weupe kwenye movie
 
Back
Top Bottom