Tusaidie ndugu yangu. Kwa bahati mbaya sisi wengine umande wa asubuhi ulitanda njia nzima hadi mlango wa kuingilia shuleni.Mi ni mtaalam mzuri tu ila sitaki kabisa kujihusisha na hili suala maana tulipoambiwa kuna siku nchi itapigwa mnada tulidhani ni filamu ya pwagu na pwaguzi! Acha nchi iuzwe!
Je hata kifo? Au ni milele na milele! Kwani walioingia huu mkataba hawatakufa?Translation: Ndoa hii ikishafungwa, kamwe katu kabisa hakuna yeyote anayeweza kuibatisha -- awe mtawala, rais, shekh, padre, kasisi, katekista, ama askofu -- hata kama pande hizi mbili zigombana na kuhasimiana kiasi cha kung'oana meno ama kunyweshana sumu.
Dah nimecheka kifala.Translation: Ndoa hii ikishafungwa, kamwe katu kabisa hakuna yeyote anayeweza kuibatisha -- awe mtawala, rais, shekh, padre, kasisi, katekista, ama askofu -- hata kama pande hizi mbili zigombana na kuhasimiana kiasi cha kung'oana meno ama kunyweshana sumu.
Kumekuchaaaaa!!!Translation: Ndoa hii ikishafungwa, kamwe katu kabisa hakuna yeyote anayeweza kuibatisha -- awe mtawala, rais, shekh, padre, kasisi, katekista, ama askofu -- hata kama pande hizi mbili zigombana na kuhasimiana kiasi cha kung'oana meno ama kunyweshana sumu.
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.
View attachment 2648997
WOW!Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
πππππππTusaidie ndugu yangu...kwa bahati mbaya sisi wengine umande wa asubuhi ulitanda njia nzima hadi mlango wa kuingilia shuleni.
Hii itakupeni mwanga nyie mliosoma Senti Kayamba.Msaada wa Google (disclaimer: sihusiki na makosa):
^Nchi Wanachama hazitakuwa na haki ya kukemea, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha Mkataba huu katika hali yoyote, ikiwa ni pamoja na ukiukaji wa nyenzo, mabadiliko ya kimsingi ya hali, kukatwa kwa uhusiano wa kidiplomasia au kibalozi, au sababu zingine zozote zinazotambuliwa chini ya sheria ya kimataifa. . Licha ya hayo yaliyotangulia, mzozo wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utatatuliwa kwa mujibu wa mahitaji ya Kifungu cha 20 cha Makubaliano haya.^
PIA CCM KWENYE MKATABA WANA KIPENGERE HATA AKIALIBU MKATABA AKUNA UNALOWEZA KUFANYAMaana yake Mkataba ni WA MILELE Si miaka 100 pekee.
Tuungane kukataa UOVU huu juu ya nchi yetu.
Jitokeze, mkuu. Nataka kesho tuanze mapinduzi kama yale ya West AfrikkkaSubirini KICHAA mdogo niingie nauvunja tu!hao waarabu mi nawamudu coz hao siyo mabeberu!!
Nyie nipitisheni tu nipenye muone!!!