stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Dah mbona mkataba wa kimangungo huu?so state haina power ya kuvunja mkataba huu no Mara waah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mbona mkataba wa kimangungo huu?so state haina power ya kuvunja mkataba huu no Mara waah
Angalia usijezeeka na ujinga kichwani.Mlokua wapi kuhamasisha watu kuungana wakati ule binadamu wanaokotwa kwenye viroba kwenye fukwe za bahari,mje muungane sasa hivi,sukuma gang
Kwa maneno mengine yaliyo rahisi kueleweka na yenye uhalisia ni kwamba: bandari itategemeza au zitategemeza vizazi vya waarabu fulani dubai pamoja na wapambe wao hapa Tz miaka yote ya uhai wao. mara tu mkataba ukishapitishwa.Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.
Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!
View attachment 2648997
Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
Angalia usijezeeka na ujinga kichwani.
Sie tunakataa Nchi yetu kuuzwa Kwa wageni, wewe unatetea chama na makundi.
Sa100 must go!!!u
Una funza kichwani wewe,kesho sabato usichelewe madhabahuniAngalia usijezeeka na ujinga kichwani.
Sie tunakataa Nchi yetu kuuzwa Kwa wageni, wewe unatetea chama na makundi.
Sa100 must go!!!
Sa100 must go!!!!Una funza kichwani wewe,kesho sabato usichelewe madhabahuni
Je kuna mtanzania ataandamana?...tutaambiwa watanzania hatuhitaji Bandari, tunahitaji maji, umeme na dawa hospitalini hahahaaaaaDawa yake ni kuandamana nchi nzima kupinga huu uhuni
Kwa taarifa yako tu ni kwamba kwenye mkataba huu safari hii Mama anakwenda ku-STRIKE DEAL ambalo halijawahi kuwa STUCK na Rais mwingine yeyote yule aliyepita.Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.
Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!
View attachment 2648997
Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
Samia sio yule mungu wenu wa chato,muda wake wa kuondoka ikifika ataondoka TuSa100 must go!!!!
Mimi sio mwanasheria ila hii ndio translation Bora kuliko zote nilizosoma kwenye bandiko la mtoa hoja hapo juuEnglish
The State Parties shall not be entitled to denounce, withdraw from, suspend, or terminate this agreement in any circumstances, including in the event of a material breach, a fundamental change of circumstances, severance of diplomatic or consular relations, or any other causes recognized under International law. Notwithstanding the foregoing, any dispute between the State Parties in respect of such circumstances shall be dealt with in accordance with the requirements of Article 20 of this Agreement.
Kiswahili
Nchi washirika wa makubaliano haya hazitakuwa na haki ya kukana, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha makubaliano haya katika hali yoyote, ikiwa ni pamoja na ukiukwaji wa masuala ya makubaliano, mabadiliko ya kimsingi ya hali ya mazingira kiutekelezaji, kusitishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia au kibalozi au sababu zingine zozote zinazotambuliwa chini ya sheria za Kimataifa. Bila kuathiri yaliyotangulia hapo juu, mzozo wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utashughulikiwa kwa mujibu wa mahitaji ya Kifungu cha 20 cha Makubaliano haya.
Legal definition (English)
Ufafanuzi wa kisheria (Kiswahili)
- Material breach-"material" breach of contract is a breach (a failure to perform the contract) that strikes so deeply at the heart of the contract that it renders the agreement "irreparably broken" and defeats the purpose of making the contract in the first place
- The fundamental change of circumstances- Parties to a contract base their consensus on the facts known to them at the time of contracting - should there be an unforeseen change in these circumstances, it may no longer be just for one party to enforce the agreement against the other.
- Severance of diplomatic or consular relations-the severance of diplomatic or consular relations between parties to a treaty does not affect the legal relations established between them by the treaty except in so far as the existence of diplomatic or consular relations is indispensable for the application of the treaty.
- Any dispute between the State Parties in respect of such circumstances shall be dealt with in accordance with the requirements of Article 20 of this Agreement- International conventions are treaties signed between two or more nations that act as an international agreement. A treaty is a binding agreement between nation-states that forms the basis for international law. Authority for the enforcement of these treaties is provided by each signing party's adherence to the treaty. An international convention or treaty is an agreement between different countries that is legally binding to the contracting States. Existing international conventions cover different areas, including trade, science, crime, disarmament, transport, and human rights
- Uvunjaji wa makubaliano-"ukiukaji wa mkataba" ni uvunjaji (kushindwa kutekeleza mkataba) ambao unazingatia kwa undani masuala ya makubaliano ya mkataba "kuvunjika bila kutenganishwa" na kushindwa kusudi la kutekeleza mkataba katika nafasi ya kwanza
- Mabadiliko ya kimsingi ya hali ya mazingira ya utekelezaji- washirika wa makubaliano ya mkataba vinaweka makubaliano yao juu ya ukweli unaojulikana kwao wakati wa mkataba - ikiwa kutakuwa na mabadiliko yasiyotarajiwa katika hali hizi, inaweza kuwa sio tu kwa upande mmoja kutekeleza makubaliano dhidi ya mwingine.
- Uvumilivu wa mahusiano ya kidiplomasia au ya kibalozi - Kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia au wa kibalozi kati ya pande husika na mkataba hauathiri uhusiano wa kisheria ulioanzishwa kati yao na mkataba isipokuwa kwa kadiri uwepo wa uhusiano wa kidiplomasia au wa kibalozi ni muhimu kwa matumizi ya mkataba.
- Mgogoro wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utashughulikiwa kulingana na mahitaji ya Ibara ya 20 ya Mkataba huu- Mikataba ya Kimataifa ni mikataba iliyosainiwa kati ya mataifa mawili au zaidi ambayo hufanya kama makubaliano ya kimataifa.
- Mkataba ni makubaliano ya kisheria kati ya mataifa ambayo ni msingi wa sheria za kimataifa. Mamlaka ya utekelezaji wa mikataba hii hutolewa na kila mtu anayesaini kufuata mkataba. Mkataba wa kimataifa au mkataba ni makubaliano kati ya nchi tofauti ambazo zinafunga kisheria kwa Mataifa ya mkataba. Mikataba ya kimataifa iliyopo inashughulikia maeneo tofauti, ikiwa ni pamoja na biashara, sayansi, uhalifu, silaha, usafiri, na haki za binadamu