Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

1686197610722.png
 
View attachment 2649460

Huo ndio uwekezaji unaotarajiwa kufanywa ni project kadhaa sio mdogo kabisa, kama kuna good terms na utaongeza biashara sana.

Issue ni kutaka maelezo ya kina, kama ilivyokuwa kwenye mradi wa Bagamoyo, hizo zote ni independent constituents za mkataba zenye terms zake au fungu moja. Na details za hizo specific contracts kuona tunavuna au tunaibiwa.

Binafsi sikuwahi fikiria ni uwekezaji mkubwa ivyo na potential ya kusaidia kwenye miundombinu mingine kuongeza ufanisi. If we get good terms ni uwekezaji wenye tija; key word good terms.
Soft copy yake naomba chief
 
Soft copy yake naomba chief

Upo kwenye hiyo thread main post chini ni attachment unaweza download.
 
Naona hapa wanamalizia kuprinti peji ya mwisho, kisha wampelekee Kwin Camilla, autie wino mwekundu.
Maana yake DUBAI IMEINUNUA TANZANIA KWA BEI SAWA NA BURE! nikama waliikuta tanzania haina mwenyewe wakajiokotea
 
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!

View attachment 2648997

Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
kwahiyo hiyo agreement ni ya milele, haitakiwi kuvunjwa. hahaha
 
tuonyesheni kipengele cha kuvunja mkataba, manake hapo anasema mkataba hautakiwi kuvunjwa.
 
Boss Weka hiyo MOU tusome na sisi
Bro iko kwenye mitandao kwote huko kuanzia Facebook mpaka jF jitahidi utafute na usome Kaka Mimi nimeioata huko maana Ni utangulizi wa huo mkataba au masharti ya awali ya mkataba huo!
 
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!

View attachment 2648997

Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
Ungeweka na hiya article 20
 
Kwa lugha nyepesi zaiadi, watakao ingia kwenye mkataba huu ni wale tu ambao hawajitambui
Huko Dodoma Speaker ameshaanza kuwaandaa wabunge kisaikolojia kwa namna ya kujadili, direction of discussion na sio kuwa na mawazo huru!
Speaker Rais PM Ni wajumbe wa CC ya chama, mbunge atakayeonesha kukerwa kwa namna yoyote au kujadili kwa matazamo tofauti au kuhoji Mambo yenye utata na kuamsha hisia za watanzania Walio wengi atakutana na rungu 2025!
Laiti kamantungekua na oppositi Bungeni wangesaidia kuraise concern lakini ndio hivyo kila aangalia meza yake kuliko maslahi ya taifa
 

Upo kwenye hiyo thread main post chini ni attachment unaweza download.
Shukrani chief
 
Hivi ulishawahi kutazama filamu za " A gods must be crazy"? Babaa ake we cheka tu, mana maumivu yakizidi hutoa machozi na kicheko
 
ARTICLE 20
DISPUTE SETTLEMENT

1. Amicable SettlementDisputes arising out of, or in connection with, this Agreement shall be referredby a Party for amicable resolution through diplomatic channels or, if such Partys0 chooses, to the IGA Consultative Committee, with any agreement recordedin writing. If a dispute is not amicably settled within ninety (90) days from thedate of presentment of the dispute through diplomatic channels or the IGAConsultative Committee, any Party may notify the other Party that a declareddispute exists (a "Declared Dispute").

2 Arbitration

(a) If a Declared Dispute exists, the Parties agree that any Party may, uponwritten notice to the other Party, submit the matter to arbitration under theUNCITRAL Arbitration Rules.

(b) Each Party shall appoint one (1) member of the tribunal within thirty (30)days of receipt of the written notice referred to in Article 20(2)(a) above.Those two (2) members shall then select a national of a third state who,on approval by the Parties, shall be appointed Chair of the tribunal.

(c) The Chair shall be appointed within thirty (30) days from the date ofappointment of the second member.

(d) If within the periods specified in Article 20(2)(b) above, the necessary- appointments have not been made, either Party may, in the absence ofany other agreement, invite the Secretary-General of the Permanent Courtof Arbitration to make any necessary appointments within thirty (30) daysof a request being made.

(e) For the purpose of Arbitration Process the seat of the arbitration shall be Johannesburg, Republic of South Africa; -(i) the venue of the arbitration shall be Johannesburg, Republic of South Africa;(iii) the language of the arbitration shall be English; and. (iv) the award shall be in writing and shall set forth the reasons for the tribunal's decision.

3. Disputes under the Project Agreements and HGAs will also be subject to resolution through international arbitration in a neutral venue and seat.


== SWAHILI ==

ARTICLE 20
UTATUZI WA MIGOGORO

1. Utatuzi wa KirafikiMigogoro inayojitokeza kuhusiana na Mkataba huu itatakiwa kurejeshwa kwa nchi husika kwa ajili ya kutatuliwa kwa njia ya kirafiki kupitia njia za kidiplomasia au, ikiwa nchi hiyo itachagua, kwa Kamati ya Mashauriano ya IGA, na makubaliano yoyote yataandikwa. Ikiwa mgogoro hautatatuliwa kwa njia ya kirafiki ndani ya siku tisini (90) tangu tarehe ya kutoa mgogoro kupitia njia za kidiplomasia au Kamati ya Mashauriano ya IGA, nchi yoyote inaweza kuwajulisha nchi nyingine kwamba kuna mgogoro uliojitokeza (Mgogoro Uliotangazwa).

2. Usuluhishi

(a) Ikiwa kuna Mgogoro Uliotangazwa, nchi zote zinakubaliana kuwa nchi yoyote inaweza, kwa taarifa ya maandishi kwa nchi nyingine, kuwasilisha jambo hilo kwa usuluhishi chini ya Kanuni za Usuluhishi wa UNCITRAL.

(b) Kila nchi itateua mwanachama mmoja wa kikundi hicho ndani ya siku thelathini (30) tangu kupokea taarifa ya maandishi iliyotajwa katika Kifungu cha 20(2)(a) hapo juu. Wale wanachama wawili (2) watateua raia wa nchi ya tatu ambaye, baada ya kupitishwa na nchi husika, atateuliwa kuwa Mwenyekiti wa kikundi hicho.

(c) Mwenyekiti atateuliwa ndani ya siku thelathini (30) tangu tarehe ya uteuzi wa mwanachama wa pili.

(d) Ikiwa ndani ya kipindi kilichotajwa katika Kifungu cha 20(2)(b) hapo juu, uteuzi unaohitajika hautafanyika, nchi yoyote inaweza, ikiwa hakuna makubaliano mengine, kumwalika Katibu Mkuu wa Mahakama ya Usuluhishi ya Kudumu kuteua wajumbe wowote wanaohitajika ndani ya siku thelathini (30) za kuombwa.

(e) Kwa madhumuni ya Mchakato wa Usuluhishi:
(i) kiti cha usuluhishi kitakuwa Johannesburg, Jamhuri ya Afrika Kusini;
(ii) eneo la usuluhishi litakuwa Johannesburg, Jamhuri ya Afrika Kusini;
(iii) lugha ya usuluhishi itakuwa Kiingereza; na
(iv) tuzo itakuwa kwa maandishi na itaeleza sababu za uamuzi wa kikundi hicho.

3. Migogoro chini ya Mkataba wa Miradi na HGAs pia itakuwa chini ya usuluhishi wa kimataifa katika eneo na kiti cha upatanishi cha upande wa tatu.
Shida sasa baada ya kusoma article 20 ni Disputes under the Project Agreements and HGAs will also be subject to resolution through international arbitration in a neutral venue and seat.

hizo project agreement ni nini na cag atakuwa anazipitia au sisi tutazijua kabla ya utekelezaji
 
Kubatilisha inawezekana, atatokea Rais mwingine jasiri ataivunjilia mbali.
Kuna hiki Disputes under the Project Agreements and HGAs will also be subject to resolution through international arbitration in a neutral venue and seat.
 
Back
Top Bottom