Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW!

Agreement!.jpg

Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
 
Mi ni mtaalam mzuri tu ila sitaki kabisa kujihusisha na hili suala maana tulipoambiwa kuna siku nchi itapigwa mnada tulidhani ni filamu ya pwagu na pwaguzi! Acha nchi iuzwe!
Tusaidie ndugu yangu. Kwa bahati mbaya sisi wengine umande wa asubuhi ulitanda njia nzima hadi mlango wa kuingilia shuleni.
 
ENGLISH:
4 The State Parties shall not be entitled to denounce, withdraw from,suspend or terminate this Agreement in any circumstances, including in theevent of material breach, fundamental change of circumstances, severance ofdiplomatic or consular relations,'intemational law. Notwithstanding the foregoing, any dispute between StateParties in respect of such circumstances shall be dealt with in accordance withthe requirements of Article 20 of this Agreement.

SWAHILI:
4 Hawana haki ya kutangaza, kujitoa, kusimamisha au kumaliza Mkataba huu katika hali yoyote, ikiwa ni pamoja na tukio la uvunjifu mkubwa wa mkataba, mabadiliko muhimu ya hali, ukatwaji wa mahusiano ya kidiplomasia au kidiplomasia, au sheria za kimataifa. Hata hivyo, mzozo wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusu hali hizo utashughulikiwa kulingana na mahitaji ya Kifungu cha 20 cha Mkataba huu.

==
Hapa |
Article 20
 
Translation: Ndoa hii ikishafungwa, kamwe katu kabisa hakuna yeyote anayeweza kuibatisha -- awe mtawala, rais, shekh, padre, kasisi, katekista, ama askofu -- hata kama pande hizi mbili zigombana na kuhasimiana kiasi cha kung'oana meno ama kunyweshana sumu.
Je hata kifo? Au ni milele na milele! Kwani walioingia huu mkataba hawatakufa?
 
Translation: Ndoa hii ikishafungwa, kamwe katu kabisa hakuna yeyote anayeweza kuibatisha -- awe mtawala, rais, shekh, padre, kasisi, katekista, ama askofu -- hata kama pande hizi mbili zigombana na kuhasimiana kiasi cha kung'oana meno ama kunyweshana sumu.
Kumekuchaaaaa!!!
 
"makubaliano ya mkataba hayatovunjwa KWA sababu yeyote ile hata ikitokea mabadiliko yeyote yale yawe ya kiuchumi,kijamii,ukiukwaji wa haki yeyote ile mkataba hautovunjwa""

Nilivoelewa,nipo tayari kukosolewa kama nimeenda chaka!!
Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

View attachment 2648997
WOW!
Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
 
Msaada wa Google (disclaimer: sihusiki na makosa):

^Nchi Wanachama hazitakuwa na haki ya kukemea, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha Mkataba huu katika hali yoyote, ikiwa ni pamoja na ukiukaji wa nyenzo, mabadiliko ya kimsingi ya hali, kukatwa kwa uhusiano wa kidiplomasia au kibalozi, au sababu zingine zozote zinazotambuliwa chini ya sheria ya kimataifa. . Licha ya hayo yaliyotangulia, mzozo wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utatatuliwa kwa mujibu wa mahitaji ya Kifungu cha 20 cha Makubaliano haya.^
 
Hii itakupeni mwanga nyie mliosoma Senti Kayamba.
 
Back
Top Bottom