Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

Sitatia siri za baraza la Mawaziri,na Makatibu Wakuu nao wanaapa hawatatoa siri za Serikali.

Hakuna mkataba wa Serikali unaweza ukawekwa wazi kiasi hicho,labda iwe Serikali ya Abunuasi
Kwa hiyo huu mkataba umebuniwa na wahuni ?
 
Hakuna mkataba wa bandari baina ya Saudi Arabia na Tanzania.

Nijuavyo kuna mkataba baina ya Falme ya Dubai na Tanzania.
Waislam kila wakipewa nchi wanaiharibu alikwepo mwinyi alicho fanya anajua mwenyewe kaja mkapa kaweka mambo sawa haya kaja kikwete nusu nchi itaifishwe ,kaja magufuli kaweka mambo sawa haya sasa mwingine huyoo anaanz kuuza bandari baada ya kuuza mbuga ya wanyama , sio mda tutasikia kipande cha dar es salaam hadi pwani ni mali ya dubai hatari hii
 
Kubatilisha inawezekana, atatokea Rais mwingine jasiri ataivunjilia mbali.
 
Tafsiri ninayoipata mimi kuhusu kipengere hicho ni kwamba Tanzania italazimika kulianzisha la msituni kupambania uhuru wake kwa mara ya pili.

Hakuna anayeweza kuzuia hilo lisitokee.

Ni haki ya kila taifa kupambania uhuru wake, au siyo?
 
Mg
Mi ni mtaalam mzuri tu ila sitaki kabisa kujihusisha na hili suala maana tulipoambiwa kuna siku nchi itapigwa mnada tulidhani ni filamu ya pwagu na pwaguzi! Acha nchi iuzwe!
Mgogo alitonywa
 
Sitatia siri za baraza la Mawaziri,na Makatibu Wakuu nao wanaapa hawatatoa siri za Serikali.

Hakuna mkataba wa Serikali unaweza ukawekwa wazi kiasi hicho,labda iwe Serikali ya Abunuasi
Ndio mzigo ushamwagika sasa hiyo ni MOU Mkataba wenyewe unakuja
 
A crooked agreement of which you do not need to go for law school, in reality though Tanzania practices and favors herding behavior an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objectives , Ni mkataba wa kuitapeli japokuwa Tanzania tunawatu ambao hujitoa ufahamu kwa mlengo fulani (masilaha binafsi ama kikundi fulani) pia tuna jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti
 


Bila ya kusoma article 23 yote inaweza isi make sense.

1. Kila mkataba utakaoingiwa una condition na terms zake. Zipo project nyingi mfano maboresho ya sehemu za maboti ya abiria, kazi ikiisha na mkataba unaishia hapo.

Kuna project zingine baada ya kufanya uwekezaji zikiisha zina muda wa makubaliano wa kuziendesha pia, mfano uboreshaji wa sehemu ya kuingiza mizigo; wanaweza endesha wao kwa muda wa makubaliano mpaka hela yao itakaporudi au kama kuna option ya kuongezewa muda.

4. Ukishaingia hayo makubaliano ndio uwezi kuvunja mkataba kishamba, vinginevyo mnaenda kushitakiana.

Si kweli kwamba hakuna ukomo, miradi ni mingi na kila mmoja utakuwa na terms and conditions zake.
 
Kosa tutakalo fanya raia ni kuacha kuangalia hizo sehemu zilizotajwa wanataka kuwekeza kwenye appendix 1, na kuuliza maswali ya msingi.

Je tunahitaji wawekeze kila sehemu hapo maana kama uwekezaji wenyewe sio wa hela nyingi kwanini wavune tu kirahisi, watapewa muda gani, tunahitaji waendeshe sehemu za bandari au tununue utaalamu wa kutuongoza.

Lakini upotoshaji aujengi, kwa sababu ukipitia hiyo agreement kuna mambo mazuri pia, but then kwa conditions zipi tunataka wapewe kwenye final HGA.
 
Nchi iendeshwe na mwanamke,mwanamke atuongoze.. ooh awammu ya akina mama. Na huu ndio umama wenyewe sasa.
 
[emoji848]
 
Yani hicho kifungu atake ingia king[emoji453] ndio kaliwa maliza, kinga yetu itakua nini! Kodi au!? Au watapewa sera maalum za kikodi tofauti na sera/mifumo ya sasa ya kikodi
 
[emoji189]
 
"makubaliano ya mkataba hayatovunjwa KWA sababu yeyote ile hata ikitokea mabadiliko yeyote yale yawe ya kiuchumi,kijamii,ukiukwaji wa haki yeyote ile mkataba hautovunjwa""

Nilivoelewa,nipo tayari kukosolewa kama nimeenda chaka!!
Mpaka! Ukiukwaji wa haki yoyote ile mkataba hautovunjwa!

Hata kiapo cha ndoa hakipo hivyo walahi!

KATAA NDOA[emoji1787]
 
Wamesha SIGN huu mkataba wa kuzimu!?
 


Huo ndio uwekezaji unaotarajiwa kufanywa ni project kadhaa sio mdogo kabisa, kama kuna good terms na utaongeza biashara sana.

Issue ni kutaka maelezo ya kina, kama ilivyokuwa kwenye mradi wa Bagamoyo, hizo zote ni independent constituents za mkataba zenye terms zake au fungu moja. Na details za hizo specific contracts kuona tunavuna au tunaibiwa.

Binafsi sikuwahi fikiria ni uwekezaji mkubwa ivyo na potential ya kusaidia kwenye miundombinu mingine kuongeza ufanisi. If we get good terms ni uwekezaji wenye tija; key word good terms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…