Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

Mlokua wapi kuhamasisha watu kuungana wakati ule binadamu wanaokotwa kwenye viroba kwenye fukwe za bahari,mje muungane sasa hivi,sukuma gang
Angalia usijezeeka na ujinga kichwani.

Sie tunakataa Nchi yetu kuuzwa Kwa wageni, wewe unatetea chama na makundi.

Sa100 must go!!!
 
Kwa maneno mengine yaliyo rahisi kueleweka na yenye uhalisia ni kwamba: bandari itategemeza au zitategemeza vizazi vya waarabu fulani dubai pamoja na wapambe wao hapa Tz miaka yote ya uhai wao. mara tu mkataba ukishapitishwa.
 
Inshort hapo mkataba utaendelea kuwepo hadi Yesu atakaporudi, hakuna kitu dunia hii cha kuuvunja
 
Angalia usijezeeka na ujinga kichwani.

Sie tunakataa Nchi yetu kuuzwa Kwa wageni, wewe unatetea chama na makundi.

Sa100 must go!!!u

Angalia usijezeeka na ujinga kichwani.

Sie tunakataa Nchi yetu kuuzwa Kwa wageni, wewe unatetea chama na makundi.

Sa100 must go!!!
Una funza kichwani wewe,kesho sabato usichelewe madhabahuni
 
Dawa yake ni kuandamana nchi nzima kupinga huu uhuni
Je kuna mtanzania ataandamana?...tutaambiwa watanzania hatuhitaji Bandari, tunahitaji maji, umeme na dawa hospitalini hahahaaaaa
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba kwenye mkataba huu safari hii Mama anakwenda ku-STRIKE DEAL ambalo halijawahi kuwa STUCK na Rais mwingine yeyote yule aliyepita.

Chances ni kwamba kitakachotokea baada ya hapo watu wanaweza kuamua atawale hata miongo miwili maana hapo baadaye, atakuwa na uwezo wa hata ku-DOUBLE mishahara ya wafanyakazi akiamua
AN ESTIMATED TZS 30 TRILLION KWA MWAKA kutoka bandarini peke yake siyo kitu cha mchezo.

JANA NILIMSIKILIZA VIZURI SANA MH. MBUNGE JOB LUSINDE NA NILIMWELEWA VIZURI.

TL naye pia ameshadokeza kuwa mkataba huu ni nyeti sana na ndiyo maana umepitishiwa Bungeni; na mjadala wake ni kesho Jumamosi tarehe 10/06/2023; muda ambao watu walio wengi watakuwa off ili waweze kusikiliza BUNGE LIVE
 
Mimi sio mwanasheria ila hii ndio translation Bora kuliko zote nilizosoma kwenye bandiko la mtoa hoja hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…