Naomba wenye uelewa kuhusu hisa za bank ya CRDB tujuzane

Naomba wenye uelewa kuhusu hisa za bank ya CRDB tujuzane

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Habari wana jamii naomba wenye uelewa kuhusu hisa za bank ya CRDB tujuzane, mtu anakuaje mwana hisa, hisa moja ni tsh ngapi, na faida zake zikoje mfano ukiwa na hisa kumi unafaidikaje baadae
Screenshot_20250119-100314.png
 
1. Mtu anakuwa mwanahisa kwa kununua hisa; waweza tembelea tawi lolote la CRDB kwa mwongozo zaidi
2. Bei ya hisa hubadilika badilika kulingana na soko. Kujua bei ya sasa tembelea dse.co.tz, wasoliana na mawakala wa soko la hisa, n.k
3. Miongoni mwa faida za hisa ni kupata gawio litokanalo na faida, kuuza hisa kwa bei ya juu zaidi kama bei ikipanda.
Note: Ili kupata faida kubwa, inahitajika uwekezaji mkubwa.
Kama Una njaa usiwekeze kwenye hisa
 
All the Best baada ya kupata elimu ya hisa hapo juu
 
Mwaka huu neema usiache kununua. Utakumbuka haya maneno Boss
 
Back
Top Bottom