1. Mtu anakuwa mwanahisa kwa kununua hisa; waweza tembelea tawi lolote la CRDB kwa mwongozo zaidi
2. Bei ya hisa hubadilika badilika kulingana na soko. Kujua bei ya sasa tembelea dse.co.tz, wasoliana na mawakala wa soko la hisa, n.k
3. Miongoni mwa faida za hisa ni kupata gawio litokanalo na faida, kuuza hisa kwa bei ya juu zaidi kama bei ikipanda.
Note: Ili kupata faida kubwa, inahitajika uwekezaji mkubwa.
Kama Una njaa usiwekeze kwenye hisa