Naombea Simba atolewe na Orlando

Naombea Simba atolewe na Orlando

Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Na Mimi nikikuombea wewe Utoweke ni sawa!
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Hiki kiajuza kikifika miaka 50 kitakuwa kuchawi,

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Utaumbuka.
 
Simba si ya kupigwa nje ndani kama ulivyo. This is SIMBA, kesho utalala na kanchiri kichwani.
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Sipendi mpira na sishabikii ILA AS LONG AS ANAWAKILISHA TAIFA... ASHINDE TU KWAKWELI TENA AWAFUNGE HATA GOLI 10 HAO MAHARAMIA... NA walivyo na jina baya hata sitaki kuwasikia

SIMBA MSHINDE TU KWAKWELI....
 
Afadhali wewe una akili . Nadhani umeolewa . Huyu bibi yako nadhani ni mchawi.
 
Utaomba mpaka ufe, Simba ndio timu ya taifa ya afrika mashariki.

Inamtoa huyo Orlando mapema pale kwa Mkapa.
Mbna police Tanzania iliwavimbia week tu imepita kesho aibu Ni aibu taifa na Africa masharikii inakwenda kuingia
 
Back
Top Bottom