Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi nikikuombea wewe Utoweke ni sawa!Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Kwa mtindo gani Kama wa Nigeria ,wa kupiga mbele na nyuma au....najua unauzoefu wa maumivu yake!😁😁😁😄Inshallah watatolewa
Hiki kiajuza kikifika miaka 50 kitakuwa kuchawi,Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Utaumbuka.Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Sipendi mpira na sishabikii ILA AS LONG AS ANAWAKILISHA TAIFA... ASHINDE TU KWAKWELI TENA AWAFUNGE HATA GOLI 10 HAO MAHARAMIA... NA walivyo na jina baya hata sitaki kuwasikiaSiipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Afadhali wewe una akili . Nadhani umeolewa . Huyu bibi yako nadhani ni mchawi.Sipendi mpira na sishabikii ILA AS LONG AS ANAWAKILISHA TAIFA... ASHINDE TU KWAKWELI TENA AWAFUNGE HATA GOLI 10 HAO MAHARAMIA... NA walivyo na jina baya hata sitaki kuwasikia
SIMBA MSHINDE TU KWAKWELI....
Mbna police Tanzania iliwavimbia week tu imepita kesho aibu Ni aibu taifa na Africa masharikii inakwenda kuingiaUtaomba mpaka ufe, Simba ndio timu ya taifa ya afrika mashariki.
Inamtoa huyo Orlando mapema pale kwa Mkapa.
polis vs simba ni sawa na simba vs pirates kweli??!.game plan zinafanana kweli??!Mbna police Tanzania iliwavimbia week tu imepita kesho aibu Ni aibu taifa na Africa masharikii inakwenda kuingia
Mchangani huku hatupotezi nguvu zetu.Mbna police Tanzania iliwavimbia week tu imepita kesho aibu Ni aibu taifa na Africa masharikii inakwenda kuingia