Naombea Simba atolewe na Orlando

Naombea Simba atolewe na Orlando

img_1_1649482398349.jpg
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧
 
[emoji867][emoji867][emoji867] kabla hujalala kalia kwanza
 
Hahahaaa. Naona uzi umepiga kwenye puresha pointi za Makolo.
images-1.jpeg

Kama lote. 🤣🤣🤣
 
aibu yetu Aibu yao…

umelala doro😱😱😱😱😱😱
 
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.

Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.

Mungu ibariki Orlando!
Kama ni mnywaji basi leo pombe zitakukoma na utageuka kapombe
 
Back
Top Bottom