Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Mjifunze sio kuombea mabaya tuHahahaaa. Naona uzi umepiga kwenye puresha pointi za Makolo. View attachment 2191435
Kama lote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tujifunze nini?Mjifunze sio kuombea mabaya tu
Kama ni mnywaji basi leo pombe zitakukoma na utageuka kapombeSiipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Hatimaye YametimiaSiipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu.
Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye mashindano hayo.
Mungu ibariki Orlando!
Mungu mwema
Dume la beberu linachinjwa muda huu kwa furahaKama ni mnywaji basi leo pombe zitakukoma na utageuka kapombe