happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Njoo kwangu mi kila ninaempachika anatoka dume haina haja ya kucheki tarehe.Msaada
Mi ni mama ninamtoto mmoja wa kike
Nilikua nataka nipange siku nipate wakiume
tarehe 8mwez wa nane niliingia Mp alafu tarehe 17 nikakutana. A mwenzangu ambapo ilikua ni siku ya 9 nashanga
nmepata ujauzito siku ya 9 na 90% itakua mtoto wa kike
je kunauwezekano akawa wa kiume jmn??
Mi nipo serious mkuu we acha matanNjoo kwangu mi kila ninaempachika anatoka dume haina haja ya kucheki tarehe.
Aje?Huyo mtoto ni wa kike maana ungekuwa na mimba ya kiume usingekuwa hivi.
Njoo PM mkuuMi nipo serious mkuu we acha matan
Mi nipo serious mkuu we acha matan
Mi nimetaka msaada hapa huko Pm nifate nn? Ningekua nashida Pm nisingeanzisha thread ningekufata pm directNjoo PM mkuu
Sasa mimba mmepeana huko mafichoni, sisi ndo unataka tujue jinsia?
Na umejuaje kwamba mimba iliingia siku ya tisa?
Mzee wa fursaNjoo kwangu mi kila ninaempachika anatoka dume haina haja ya kucheki tarehe.
Mkuu tunafanya kila njia kuzifuata fursa zilizopo mafanikio hayaji kwa kuyatazama.Mzee wa fursa
Baada ya hapo mzee alisafir kikaz karudi tayar nilikua safe days