happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Msaada
Mi ni mama ninamtoto mmoja wa kike
Nilikua nataka nipange siku nipate wakiume
tarehe 8mwez wa nane niliingia Mp alafu tarehe 17 nikakutana. A mwenzangu ambapo ilikua ni siku ya 9 nashanga
nmepata ujauzito siku ya 9 na 90% itakua mtoto wa kike
je kunauwezekano akawa wa kiume jmn??