Naomben msaada wapendwa

Naomben msaada wapendwa

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Msaada
Mi ni mama ninamtoto mmoja wa kike
Nilikua nataka nipange siku nipate wakiume
tarehe 8mwez wa nane niliingia Mp alafu tarehe 17 nikakutana. A mwenzangu ambapo ilikua ni siku ya 9 nashanga
nmepata ujauzito siku ya 9 na 90% itakua mtoto wa kike

je kunauwezekano akawa wa kiume jmn??
 
Huyo mtoto ni wa kike maana ungekuwa na mimba ya kiume usingekuwa hivi.
 
Msaada
Mi ni mama ninamtoto mmoja wa kike
Nilikua nataka nipange siku nipate wakiume
tarehe 8mwez wa nane niliingia Mp alafu tarehe 17 nikakutana. A mwenzangu ambapo ilikua ni siku ya 9 nashanga
nmepata ujauzito siku ya 9 na 90% itakua mtoto wa kike

je kunauwezekano akawa wa kiume jmn??
Njoo kwangu mi kila ninaempachika anatoka dume haina haja ya kucheki tarehe.
 
Huyo mtoto anaweza akawa wa kiume believe maana nimefikiriaaa nkagundua mwenyewe. Ukijifungua lete feedback tujue
 
Back
Top Bottom