Yeye mwenyw dawa hazijui jina alipewa tu na rafiki yake ,huyu dogo ndo kamiliza form six this year,nimjaribu kuuliza wat wanesema inawezekn mimba iliharibika
NB:mmi ni wakium so vitu ving vya kike sijui

Fanya haraka ufuate huu ushauri, hiyo mimba ishaharibika ndio maana inaonekana bado kina mzigo tumboni.Hiyo hospitali uliyompeleka ni kubwa kiasi gani? Onana na gynaecologist amfanyie uchunguzi pia muulize njia alizotumia kujaribu kuiharibu mimba.
Wanatuumiza kweli yan nimestruggle Sana kumosomeshaFanya haraka ufuate huu ushauri, hiyo mimba ishaharibika ndio maana inaonekana bado kina mzigo tumboni.
Uchunguzi wa umakini ufanyike ili asafishwe tumbo....
Ukifanikiwa kuweka mambo sawa, muulize alipewa mimba nani....
Daahhh, mambo mengine wadogo zetu wa kike wanatuumiza sana...