mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Nina mdogo wangu wakike bahati mbay tuko wawil tu wazaz walishatangulia sasa huyu mdogo ang kumbe alipata mimba na kwa kuniogopa alijaribu kuitoa hiyo mimba sas kma week moja iv imepita alkuw analalmika maumivu ya tumbo ,nikampelek hospital kupimwa bado anaonekn Ni mjamzito shida ni kwamba Badoo analalmika maumivu ya tumbo na kichwa,,naomben ushaur shida itakua n nn!?