Naomben ushaur

Naomben ushaur

mart66

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
610
Reaction score
691
Nina mdogo wangu wakike bahati mbay tuko wawil tu wazaz walishatangulia sasa huyu mdogo ang kumbe alipata mimba na kwa kuniogopa alijaribu kuitoa hiyo mimba sas kma week moja iv imepita alkuw analalmika maumivu ya tumbo ,nikampelek hospital kupimwa bado anaonekn Ni mjamzito shida ni kwamba Badoo analalmika maumivu ya tumbo na kichwa,,naomben ushaur shida itakua n nn!?
 
Hiyo hospitali uliyompeleka ni kubwa kiasi gani? Onana na gynaecologist amfanyie uchunguzi pia muulize njia alizotumia kujaribu kuiharibu mimba.
 
Yeye mwenyw dawa hazijui jina alipewa tu na rafiki yake ,huyu dogo ndo kamiliza form six this year,nimjaribu kuuliza wat wanesema inawezekn mimba iliharibika

NB:mmi ni wakium so vitu ving vya kike sijui
 
Alikusudia kuitoa bila shaka imemgomea!!
Sasa ndipo imeharibika.
Fuata ushauri wa Sky hapo juu
Yeye mwenyw dawa hazijui jina alipewa tu na rafiki yake ,huyu dogo ndo kamiliza form six this year,nimjaribu kuuliza wat wanesema inawezekn mimba iliharibika

NB:mmi ni wakium so vitu ving vya kike sijui
 
Yeye mwenyw dawa hazijui jina alipewa tu na rafiki yake ,huyu dogo ndo kamiliza form six this year,nimjaribu kuuliza wat wanesema inawezekn mimba iliharibika

NB:mmi ni wakium so vitu ving vya kike sijui
Hiyo hospitali uliyompeleka ni kubwa kiasi gani? Onana na gynaecologist amfanyie uchunguzi pia muulize njia alizotumia kujaribu kuiharibu mimba.
Fanya haraka ufuate huu ushauri, hiyo mimba ishaharibika ndio maana inaonekana bado kina mzigo tumboni.

Uchunguzi wa umakini ufanyike ili asafishwe tumbo....

Ukifanikiwa kuweka mambo sawa, muulize alipewa mimba nani....

Daahhh, mambo mengine wadogo zetu wa kike wanatuumiza sana...
 
Wanatuumiza kweli yan nimestruggle Sana kumosomesha
 
Ebu muache akifariki ndio atajifunza
Unajarbu kutoa mimba! Mbavu sana
 
Mkuu fuata hili . Inaweza kuwa incomplete abortion (alitoa lakn uchafu haujaisha ) na kilimo cha mimba huwa kinaonesha positive ata kama ametoa kwa siku 21hadi 30 inategemeana na mtu. Sasa hapo kamfanyia utrasaund ili kama kuna mabaki ya uchaf asafishwe au kama ni dawa za kukausha utapewa ushaul na madaktar
 
Back
Top Bottom