Naomben ushauri.

Naomben ushauri.

Rose nshazma taa! Zma na wewe! 9ts 2u all! Nawapenda wooooote! Mniote wajameni! Byeeeeee!



nilikuwa navaa km ulivyosema
nazma na mimi yangu ttttaaaaaaaaaaaaaa gzaaaaaaaaaa m closng window nw byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Ckujb tn cz nshalala!
dah umenikumbusha mawenziiii et nilikuwa nkilala nalala na jeans afu nachomekea sweta afu nasema...ADABU PANAPO MALALO MWALIMU ANATAKA TUCHOMEKEE....met walikuwa wanachekaaaa bas mwenyewe nikichomekea msweta wangu na suruali kuuubwa ya kadet na soks bas nalala unono wewe acha tu yan ili joto la dar ki 9t dress kilain mtu akitaka kukupaka vaseline anakupaka kwa raha zake stak mie


ngoja nizidshe kipupwe apa then nivae sweta langu na sarawil as u sayed.....
 
Mbaya zaid ukutane na thred alyo2ma Muhadhir, Hafif, M. Shosi, n.k. Ucpopatw na kisukar ni bahat! Angalau MMU unaongeza ck za kuishi.

Ayayaya,umewasahau kina kupeng'e na jeykey,damn
 
mie naogopa kuchangia sasa hivi..
mleta mada hajachangia chochote toka amepost hii threads..
na kwa intelijensi zangu, naona kama ni mwanaume :brick: huyu Majenkv...(labda alikuwa ameleta tukio la dada yake au mkewe..i don't knw)
 
Jikatae mwache mwanaume hata kama hana kitu angeonesha dalili zakukujali.
 
hizi thread za hivi zinaudhi sana mtu ana post halafu anaingia mitini!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom