Naomben Ushauri

Hiyo nguo ulimpa au ameichukua baada ya kuachana? Kama ulimpa na unamnyang'anya baada ya kuachana sio ujentromeni huo na uhudhurie vikao. Kama ni wakukuloga angeshakuloga toka muda au angeshayaandaa mazingira ya kukuloga toka muda.

dear eX ana vinguo fulani alichukua kila akinikumbuka huko alipo ananitext kuniambia amevaa imempendeza. Mara anataka azirudishe, kuna siku kanikomalia nikamwambia ampe mdogo wake.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Ewe kijana kwann unakua na moyo mgumu, Kwan alivyokua anakomalia arudishe hukujua kusoma alama za nyakati. Vikao utakua huudhuriagi wewe, umeniuzii sana.
 
Alichukua bila Ruhusa yang
 
Kuna mmoja nilimfumania njian usiku akiwa na msela,nikamwambia tuachane akakubali,lakin nguo zangu alikatalia,nilimuomba sana lakin alikuwa hanijibu chochote mwsho wa siku nikamuachia

Bahat nzur mim natoka koo ya simba huwa sirogeki

Baada ya mwaka ananiambia nguo zangu zipo kazitunza kwenye begi na anataka turudiane,
 
Nisubirie Matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…