Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtego kimbia,Habar zenu wakuu,poleen na Mvua na Baridi.
Naomben Ushauri hapa ;Kuna Dem Nmemuacha Ila Kakatalia Nguo yangu anadai kuwa Ety Ni Kumbukumbu kwake.
😀😀😀Ewe kijana kwann unakua na moyo mgumu, Kwan alivyokua anakomalia arudishe hukujua kusoma alama za nyakati. Vikao utakua huudhuriagi wewe, umeniuzii sana.Hiyo nguo ulimpa au ameichukua baada ya kuachana? Kama ulimpa na unamnyang'anya baada ya kuachana sio ujentromeni huo na uhudhurie vikao. Kama ni wakukuloga angeshakuloga toka muda au angeshayaandaa mazingira ya kukuloga toka muda.
dear eX ana vinguo fulani alichukua kila akinikumbuka huko alipo ananitext kuniambia amevaa imempendeza. Mara anataka azirudishe, kuna siku kanikomalia nikamwambia ampe mdogo wake.
Msimtishe mleta mada tafadhaliUlivyotoka nyumbani uliaga?
mh! hivi upo mjini hapa..?Ulivyotoka nyumbani uliaga?
Alichukua bila Ruhusa yangHiyo nguo ulimpa au ameichukua baada ya kuachana? Kama ulimpa na unamnyang'anya baada ya kuachana sio ujentromeni huo na uhudhurie vikao. Kama ni wakukuloga angeshakuloga toka muda au angeshayaandaa mazingira ya kukuloga toka muda.
dear eX ana vinguo fulani alichukua kila akinikumbuka huko alipo ananitext kuniambia amevaa imempendeza. Mara anataka azirudishe, kuna siku kanikomalia nikamwambia ampe mdogo wake.
Ishakuwa fimbo ya mbali😀😀😀Ewe kijana kwann unakua na moyo mgumu, Kwan alivyokua anakomalia arudishe hukujua kusoma alama za nyakati. Vikao utakua huudhuriagi wewe, umeniuzii sana.
MuachieAlichukua bila Ruhusa yang
Ndio nimerudi, nlikua huko vijijini ndan ndani boss wangumh! hivi upo mjini hapa..?
Nisubirie MatokeoKuna mmoja nilimfumania njian usiku akiwa na msela,nikamwambia tuachane akakubali,lakin nguo zangu alikatalia,nilimuomba sana lakin alikuwa hanijibu chochote mwsho wa siku nikamuachia
Bahat nzur mim natoka koo ya simba huwa sirogeki
Baada ya mwaka ananiambia nguo zangu zipo kazitunza kwenye begi na anataka turudiane,