Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
Asante kwa Taarifa Mkuu ila hata hivyo sitomsamehe nataka nimnyooshe kidogo kwa Adhabu za Kishalubela ( Kikatili ) kwani naona kama vile kumuonyesha nampenda na Kumdekeza kumemuharibu sasa nataka nimchenjie mazima kwa kuacha Kumcharaza Viboko na niwe nampa tu Adhabu za Kimedani ( Kijeshi ) tupu akae sawa.