nenda pale rangi nne kweny soko la jioni utajiokotea matunda mengi mno mpka usazeMbagara rangi 3😎
Yeah, imenisaidia sana mkuu.Kufunga?
Fasting is good mkuu, inasaidia ku cleanse mwili, ila matunda muhimu
hautaki auHahahahaha aisee🤣🤣
ingia Google map search rangi nne uone kama haipo, we unapewa chimbo alf unaita drama are you mad?Nipe chimbo linalo eleweka bwana, acha drama. Rangi nne soko la jioni ndo wapi?
naona lugha rahisi hautaki kuelewa sa unataka nikubembeleze😏Duuh was it necessary to use strong words? 😂, au unataka kunichachafya?
Mabibo ,ukiwahi morning kama mlafi unaweza beba ya mwezi mzima kwa 10k tu😂Hii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu.
Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar.
Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa.
Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana
So wanabodi wa Dar Naombeni mwongozo Sehem ya kupata matunda hasa
Parachichi, embe, nananasi, chungwa, ndizi..
Nitashukuru sana.
nakazia😆Kwanini usioe mke akawa anakusaidia mambo mengine madogo madogo kama hayo
🤣🤣🤣ngoja atupe mrejeshonakazia😆
Mie kwa mtazamo wangu nenda mabibo au temeke stereo ni karibu na hospital ya rufaa ya temeke ukifika hapo nichek nauza madafuKarume sokoni? Au? Bei elekezi?