Naombeni chimbo la matunda Dar

Mimi kama sina kazi ndio chakula changu hicho, usiku huwa sihisi njaa labda ni kwa ajili ya kufunga mara nyingi hadi siku 2.
Kufunga?
Fasting is good mkuu, inasaidia ku cleanse mwili, ila matunda muhimu
 
Mabibo ,ukiwahi morning kama mlafi unaweza beba ya mwezi mzima kwa 10k tu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…