Hahahaha, nyie wadada wa jf bwana.Mie kwa mtazamo wangu nenda mabibo au temeke stereo ni karibu na hospital ya rufaa ya temeke ukifika hapo nichek nauza madafu
Hakika, maana ni muda sasa,naona mie ndo mshenga au nitakua matronππ ikawe kheri kwako
ngoja ajeπ
Atakanusha taarifa hizi.. πngoja ajeπ
mimi sina cha kuongeza kabisaAtakanusha taarifa hizi.. π
Ila huo ndio ukweli, nimekuwa nikimu idealize kama mke wangu toka muda sana.
Nimeandika uzi, akaona aibu hakujibu, ila ndani ya mtima wake anajua mimi Gunner11 ndiye mwanaume pekee nitakayo mpa anacho kitaka
Huyu mtoto kuna siku ntamchapa hadharani. Huyu size yenu wewe na Malerine na Chicca, mie bibi yake.ngoja ajeπ
Ujue wewe!
kasema anapenda wabibi wajanja kama wew ndo size yake sisi vijana hatutaki eti hatujui kuogaπ€£π€£π€£π can you imagine sisyπ₯Huyu mtoto kuna siku ntamchapa hadharani. Huyu size yenu wewe na Malerine na Chicca, mie bibi yake.
Dah π nimelia sana.kasema anapenda wabibi wajanja kama wew ndo size yake sisi vijana hatutaki eti hatujui kuogaπ€£π€£π€£π can you imagine sisyπ₯
na kwenye hayo mambo mengine kuna vitu hivi β,,,, π€£π€£π€£π€£Dah π nimelia sana.
Hapo kuna mambo haya βπ» na kwenye mambo hayo mawili kuna mambo mengine haya βπ»
Ngoja tuone.
Si ndiooo! π€£na kwenye hayo mambo mengine kuna vitu hivi β,,,, π€£π€£π€£π€£
sleep well sisyπSi ndiooo! π€£
Usiku mwema mama, tulale kabla gana hajarudi kutufokea. π€
Haiwezekani... Wewe hata in your mid 30s bado kabisa. Uko katika prime yako, na sitaki uteseke tena na vijana wa hovyo..Huyu mtoto kuna siku ntamchapa hadharani. Huyu size yenu wewe na Malerine na Chicca, mie bibi yake.
Acha kuona haya, wakati unajua nini moyo wako unataka...Ujue wewe!
Haya unaendeleaje..?