Naombeni code nikipigiwa Simu nisipatikane

Naombeni code nikipigiwa Simu nisipatikane

Inao, sema kumblock mtu waga naona ni udhaifu sana
ni udhaifu kwani waliotengeneza simu hadi wakawezesha kublock hawakuwa na akili? sasa kuna tofauti gani na kutafuta code ya kutopokea siku kabisa? mbona ni kitu kile kile. udhaifu uleule.
 
Habari za wakati huu,

Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine.

Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila sihitaji tu kuwasliana nae.

Mwenye anajua namna ya kufanya naomba unielekeze. Natanguliza shukrani.

Je unataka codes za kuzuia simu zote au ni hiyo ya kwake tu? Maana anaweza kukutafuta kwa kutumia simu nyingine tofauti na hiyo ya kwake.
 
ni udhaifu kwani waliotengeneza simu hadi wakawezesha kublock hawakuwa na akili? sasa kuna tofauti gani na kutafuta code ya kutopokea siku kabisa? mbona ni kitu kile kile. udhaifu uleule.
Nspopatkana kuna namna atachukulia ...nataka nbalance shobo sabu nimezaa nae, nmechoka malumbano ya kipuuzi Nahtaj kupumzka nifocus kweny mambo yangu ya msingi, ikiwezkana kumove on.
Akipiga nikawa sipatikani atachukulia nmepoteza simu au kubadil lain ila akipiga akute 24/7 inatumika na mtu umezaa nae lazima ajenge picha flani na nafanya vile ili nipate access ya kumuona mtoto pale ntakapohitaji anaelekea miaka mi2 sasa(umri) ... Litazame kwa angle hiyo mkuu
 
Back
Top Bottom