Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
- Thread starter
-
- #61
ni udhaifu kwani waliotengeneza simu hadi wakawezesha kublock hawakuwa na akili? sasa kuna tofauti gani na kutafuta code ya kutopokea siku kabisa? mbona ni kitu kile kile. udhaifu uleule.Inao, sema kumblock mtu waga naona ni udhaifu sana
Habari za wakati huu,
Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine.
Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila sihitaji tu kuwasliana nae.
Mwenye anajua namna ya kufanya naomba unielekeze. Natanguliza shukrani.
Atatumia hadi lini, ni msalaba mzito sana.. Na nikikundua ni no. Ake permanent wembe ni ule uleAkitumia namba ingine ?
Nspopatkana kuna namna atachukulia ...nataka nbalance shobo sabu nimezaa nae, nmechoka malumbano ya kipuuzi Nahtaj kupumzka nifocus kweny mambo yangu ya msingi, ikiwezkana kumove on.ni udhaifu kwani waliotengeneza simu hadi wakawezesha kublock hawakuwa na akili? sasa kuna tofauti gani na kutafuta code ya kutopokea siku kabisa? mbona ni kitu kile kile. udhaifu uleule.
Simu yake tuuJe unataka codes za kuzuia simu zote au ni hiyo ya kwake tu? Maana anaweza kukutafuta kwa kutumia simu nyingine tofauti na hiyo ya kwake.
πMods wanafukuza mwizi kimya kimya wanafuatilia comment baada ya moment Sasa TUKANA UONE