Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 861
- 1,547
Wakuu habari zenu
Kama Title inavyojieleza naombeni mwenye connection ya kazi ya kupush hashtag au kusukuma reli anisaidie
Hali ni ngumu sana tunapigana but nothing kwahiyo kama una connection na hiko kitu hapo juu nisaidie PM iko wazi
Elimu kidato cha 6
Now niko chuo
Nina akaunti X(twitter)yenye followers wa kutosha,fb,Instagram
Niwatakie siku njema
Mungu awabariki sana