Naombeni 'connection' ya kazi

Naombeni 'connection' ya kazi

HONEST HATIBU

Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
63
Reaction score
153
Wakuu habari za saizi

Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni.

Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu

Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila hata malipo naomba connection zenu.

Mimi nina ujuzi wa IT support pia naweza kuhudumu kama customer service

Ikiwa Zanzibar itapendeza

0698120948
 
Unakosaje kazi kisa huna experience kwa kazi hizo za IT na Customer Services.

Hautuji lolote kuhusu hio IT yako, kama unajua why ukose kazi kisa huna experience??

Customer Services unakosa kazi kisa huna Experience how, unless ungeniambia Udaktari, Pilot au Engineer.
 
Kwahiyo unanishauri nini nipo hapa kupokea ushauri wako
 
Back
Top Bottom