Naombeni connection ya kazi

HASHIMU256

New Member
Joined
Oct 26, 2024
Posts
4
Reaction score
5
Habar Wana jukwaa,

Ni kijana wa miaka 27 nipo Dar essalaam Tegeta A natafuta Kazi ndugu zangu tusaidiane kwa wenye connection jamani,

Elimu yangu ni kidato Cha 6 japo nilifika chuo ila sikuhitimu kutokana na changamoto za kiuchumi, naweza kufanya Kazi za stationary yaani printing scanning etc.

Kazi ngumu pia nafanya sichagui Kazi ilmradi Ina maslahi, na pia nimewahi fanya Kazi ya kutengeneza shisha

Naombeni msaada wenu.

0674115095
 
Sina connection ila Nina ushauri: Ondoka kwenye mipaka ya Dar. Mkoa huo ni mgumu kama huna kazi Wala mtaji wa biashara.

Mungu akutangulie
 
Kazi ya shisha haifai kabisa.
 
Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hata IT or HGV nafanya na Nina uzoefu nayo Niko tayari kufanya. Naomba msada wenu ukinisaidia namini umesaidia familia yangu pia na watu wanao nizungumka.
Naomba msaada wenu, namba zangu za simu 0689793571 / iptieeabdie29@gmail.com Nitashukuru sana Kwa msada wenu.
 
Uko dar au unguja?
 
Jaribu kuwacheki naona wako karibu na mitaa ya kwenu
 
Uko tegeta sehemu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…