Naombeni Connection ya kazi

Naombeni Connection ya kazi

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,467
Reaction score
3,687
Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli

Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k nafanya

0755797531
 
Mkuu pambana utatoboa tu, maisha sio marahisi.
 
Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli

Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k nafanya

0755797531
Ikiwa utapata, utatamani ulipwe mshahara wa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom