Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Mkuu pambana utatoboa tu, maisha sio marahisi.Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli
Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k nafanya
0755797531
Napambana sana ndugu yangu ,siwez kusema yote hapaMkuu pambana utatoboa tu, maisha sio marahisi.
Ikiwa utapata, utatamani ulipwe mshahara wa kiasi gani?Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli
Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k nafanya
0755797531
Toka nje ya nchi utafute fursa neenda Rwanda, Malawi au Uganda ajalibishe uko, hapo bongo fursa ni ndogo na elimu haithaminiwi, ujuaji mwingi.Napambana sana ndugu yangu ,siwez kusema yote hapa
Kweli aisee ngoja nioneToka nje ya nchi utafute fursa neenda Rwanda, Malawi au Uganda ajalibishe uko, hapo bongo fursa ni ndogo na elimu haithaminiwi, ujuaji mwingi.
Mshahara wowote tutakaokubalina ,kwasasa nipate kazi kwanza ,familia inakufa njaaIkiwa utapata, utatamani ulipwe mshahara wa kiasi gani?
SawaNenda pm ya yule jamaa wa kipindi cha magari cha clouds atakusaidia
Dahhh...Mshahara wowote tutakaokubalina ,kwasasa nipate kazi kwanza ,familia inakufa njaa
🤝🤝Dahhh...
Sawa mkuu, nikutakie kila la kheri
Kazi ya ulinzi zanzibar utaweza?Wazee
Kulinda nini kisiwa kisiibiwe?Kazi ya ulinzi zanzibar utaweza?
Ndio kakaKazi ya ulinzi zanzibar utaweza?
Nicheki PM kwako naona umefunga au nichek 0755797531 tuongee zaidiKazi ya ulinzi zanzibar utaweza?