Naombeni connection za uvuvi maeneo ya Dar

Joined
May 23, 2024
Posts
22
Reaction score
12
Habari Wana jf,

Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya UBUNGO naitaji kazi ya uvuvi mana ndio ninayo ipenda pia iki patikana piki piki ya mkataba au daywaka nitashukulu, elimu yangu ni chuo kikuu.

Phone number 0785598033
 
Amka asubuhi na mapema nenda pale feri utakuta boti. Nyingi sana zinashusha dagaa na samaki wengine. Ongea na mabaharia wa boti utakazoweza na kama wataweza kukuunganisha na managodha wao itakuwa fresh sana. Baada ya siku kadhaa onyesha Nia ya kazi yako.. ukiwa na jitihada utapata boti ya kufanya kazi
 
Nashukulu kwa ushauri kiongozi
 
Back
Top Bottom