Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya UBUNGO naitaji kazi ya uvuvi mana ndio ninayo ipenda pia iki patikana piki piki ya mkataba au daywaka nitashukulu, elimu yangu ni chuo kikuu.
Amka asubuhi na mapema nenda pale feri utakuta boti. Nyingi sana zinashusha dagaa na samaki wengine. Ongea na mabaharia wa boti utakazoweza na kama wataweza kukuunganisha na managodha wao itakuwa fresh sana. Baada ya siku kadhaa onyesha Nia ya kazi yako.. ukiwa na jitihada utapata boti ya kufanya kazi