tamadunimusic
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 551
- 559
Hayo ndio mawazo ya kijinga kuweza kutokea dunian..Mtazamo wako FINYU. Huyo ataenda kuwakilisha taifa la Tanzania kwenye Miss World Washington DC December Mwaka huu 2016. Halafu unasema haituhusu. Mtazamo wako finyu na wote walio LIKE post yako.
Unajishushia heshima mkuu, ungepinga kwa hoja na si vioja kama unavyofanya.Hayo ndio mawazo ya kijinga kuweza kutokea dunian..
Ungekuwa ww ni mtu mwenye mtazamo mzuri ungeweza hata kucritise kipindi wanafanya mchakato wa kuwachagua ..
Sasa leo hata ulete umbea wako wa kike wa kuchunguza mambo ya watu wala haitasaidia kitu.
Mnajifanya wachambuaji wa mambo baada ya wenzenu kufanikiwa.. Sijui mijitu mingne mkoje..
Hivi nyumban kwako au kwenye ukoo wako hakuna mtu mwenye shida ya aina yoyote?? Kwann mda huo usitumie kumsaidia ili hata baadae itakapokufa na kuiacha familia yako aweze kuendeleza umoja wa kiukoo???
Mkuu kubali tu kubadlika unahoji mambo ya kijinga sana.. Mambo ambayo hayana manufaa yoyote..
Dah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Jiongezee heshima kwa kuchunguza mambo ya watuUnajishushia heshima mkuu, ungepinga kwa hoja na si vioja kama unavyofanya.
Hayo ndio mawazo ya kijinga kuweza kutokea dunian..
Ungekuwa ww ni mtu mwenye mtazamo mzuri ungeweza hata kucritise kipindi wanafanya mchakato wa kuwachagua ..
Sasa leo hata ulete umbea wako wa kike wa kuchunguza mambo ya watu wala haitasaidia kitu.
Mnajifanya wachambuaji wa mambo baada ya wenzenu kufanikiwa.. Sijui mijitu mingne mkoje..
Hivi nyumban kwako au kwenye ukoo wako hakuna mtu mwenye shida ya aina yoyote?? Kwann mda huo usitumie kumsaidia ili hata baadae itakapokufa na kuiacha familia yako aweze kuendeleza umoja wa kiukoo???
Mkuu kubali tu kubadlika unahoji mambo ya kijinga sana.. Mambo ambayo hayana manufaa yoyote..
Dah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Kwann usingetumia mda huo kutafti mambo ya kiuchumi ili ulete mabadliko??
Badlikeni jaman mambo ya kuanza kumchambua mtu na kumfuatilia wakat huna manufaa nayo haina maana wala msingi..
Hayo ndio matatzo ya kushinda kwenye saloon za Dada zenu na kuiga mitindo ya kike mmeanza kuwa na tabia zakike tayae
Mbona povu sana lichukue kafulie mashukaDah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??