Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Issue sio elimu yake, kuwa miss na elimu wala havina mahusiano, tatizo ni udanganyifu wa umri, yule sio wa kuwa na miaka 18 huku akiwa na elimu ya degree, yani mabinti hawapendi ukubwa kama wasivyopenda UGALI, na huku kujifanya watoto kila siku ndio kuna wacost kina wema leo, maana wametoa sana mimba kwa kutaka kula ujana leo hii wagumba na umri umeenda
 
Yaani kwa project zile hawezi kuwa alisoma shule hata haijulikani jina. Huyo atakuwa amefanana majina tu.

Huyu hajaokota umiss alijipanga na kuwekeza.
Nitafutie miss ambaye kabla hajawa miss tz aliandikwa na project zake kwenye magazeti ya lugha ya malkia.
Nahisi alienda kujifunza kuigiza vizuri kwa watu walioko kwenye hiyo tasnia. Ameufanyia kazi haswa. Sio wale waliokuja na vazi la ubunifu vitenge vya kawaida tu.
 
Mtazamo wako FINYU. Huyo ataenda kuwakilisha taifa la Tanzania kwenye Miss World Washington DC December Mwaka huu 2016. Halafu unasema haituhusu. Mtazamo wako finyu na wote walio LIKE post yako.
Hayo ndio mawazo ya kijinga kuweza kutokea dunian..
Ungekuwa ww ni mtu mwenye mtazamo mzuri ungeweza hata kucritise kipindi wanafanya mchakato wa kuwachagua ..

Sasa leo hata ulete umbea wako wa kike wa kuchunguza mambo ya watu wala haitasaidia kitu.

Mnajifanya wachambuaji wa mambo baada ya wenzenu kufanikiwa.. Sijui mijitu mingne mkoje..
Hivi nyumban kwako au kwenye ukoo wako hakuna mtu mwenye shida ya aina yoyote?? Kwann mda huo usitumie kumsaidia ili hata baadae itakapokufa na kuiacha familia yako aweze kuendeleza umoja wa kiukoo???

Mkuu kubali tu kubadlika unahoji mambo ya kijinga sana.. Mambo ambayo hayana manufaa yoyote..
 
Unajishushia heshima mkuu, ungepinga kwa hoja na si vioja kama unavyofanya.
 
6978155bcc8cc4471970d1d5b75d507a.jpg
e877089f1db3033a2abc7c8c8fe760f5.jpg
Dah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Kwann usingetumia mda huo kutafti mambo ya kiuchumi ili ulete mabadliko??

Badlikeni jaman mambo ya kuanza kumchambua mtu na kumfuatilia wakat huna manufaa nayo haina maana wala msingi..

Hayo ndio matatzo ya kushinda kwenye saloon za Dada zenu na kuiga mitindo ya kike mmeanza kuwa na tabia zakike tayae
 
Hana degree huyo, kadanganya, Lundenga ni hovyo sana, inahitaji afungiwe kabisa huyu.. sbb anatoa vilaza sana na hawawezi wakilisha taifa, hata degree ya chup! hana huyu...
 
Hayo ndio mawazo ya kijinga kuweza kutokea dunian..
Ungekuwa ww ni mtu mwenye mtazamo mzuri ungeweza hata kucritise kipindi wanafanya mchakato wa kuwachagua ..

Sasa leo hata ulete umbea wako wa kike wa kuchunguza mambo ya watu wala haitasaidia kitu.

Mnajifanya wachambuaji wa mambo baada ya wenzenu kufanikiwa.. Sijui mijitu mingne mkoje..
Hivi nyumban kwako au kwenye ukoo wako hakuna mtu mwenye shida ya aina yoyote?? Kwann mda huo usitumie kumsaidia ili hata baadae itakapokufa na kuiacha familia yako aweze kuendeleza umoja wa kiukoo???

Mkuu kubali tu kubadlika unahoji mambo ya kijinga sana.. Mambo ambayo hayana manufaa yoyote..

Nakuelewa concern yako lakini,
Miss Tanzania ni shindano la kitaifa anapo patikana mtu mmoja tunasema ndio kawashinda wasichana wote wa Tz kwa mwaka 2016.
Sasa huyo sista alikuwa hajulikani, hata mimi ndio kwanza namskia saa hii, na watanzania wanahisi katoa info zinazo tia shaka kuhusu yeye, kama mtanzania yeyote ,huyu jamaa ana haki ya kumjua ki undani muwakilishi wa nchi yake.
Sasa hivi huyo miss tz ni public figure kila anacho fanya jamii itakichunguza tuu.
*kama alidanganya umri na ikathibitka maana yake ana kosa integrity na ethical qualification ya ku iwakilisha nchi. Lakini ikithibitika alitoa habari za ukweli ataendelea na u miss wake.Na hata Sitti ndio kilicho mtokea mkuu.
 
Nchi hii wanyonge wa lala Hoi ndo tunaofuata utaratibu kutoka darasa 1 kwenda lingine na ufaulu nzuri. Usikute hata huo umiss kasaidia pia
 
Dah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Kwann usingetumia mda huo kutafti mambo ya kiuchumi ili ulete mabadliko??

Badlikeni jaman mambo ya kuanza kumchambua mtu na kumfuatilia wakat huna manufaa nayo haina maana wala msingi..

Hayo ndio matatzo ya kushinda kwenye saloon za Dada zenu na kuiga mitindo ya kike mmeanza kuwa na tabia zakike tayae

Unaficha nini mbona muoga aisee... huyu jamaa anakuja kwako sasa.
Hujui maana ya kuwa maarufu....kautafuta mwenyewe umaarufu ndio matunda yake hayo.
 
Huku kwa huyo Dada naona kama vile mnaenda mbali kwanza anzeni kujiridhisha na ' credibility ' ya Kampuni inayoandaa Miss Tanzania ya Lino Agency ndipo mtajua ni kwanini wameweza kutuletea Mshindi ' kituko na hasara ' Watanzania ambaye ni huyo Mshindi ' magumashi '. Huyu hata sitopoteza muda kumpigia ' kura ' yangu akienda huko Miss World ' kutuwakilisha ' kwani najua hata kati top 100 hatokuwepo. Tanzania haijawahi kupata Miss Tanzania ' mbaya na mbovu ' kama huyu na nadhani tutakuwa tumeweka pia ' rekodi ' kwa kuingia ' chaka '.
 
Dah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Kwann usingetumia mda huo kutafti mambo ya kiuchumi ili ulete mabadliko??

Badlikeni jaman mambo ya kuanza kumchambua mtu na kumfuatilia wakat huna manufaa nayo haina maana wala msingi..

Hayo ndio matatzo ya kushinda kwenye saloon za Dada zenu na kuiga mitindo ya kike mmeanza kuwa na tabia zakike tayae
Mbona povu sana lichukue kafulie mashuka
 
Back
Top Bottom