Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Bongo land Hiyo! Kasoma chuo gani Aisee!?

Alianza vidudu akiwa na miaka 2 pekee.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Yan huyo miss huwez mlinganisha na waliomtangulia kama wema,joketi, uwoya n.k
 
Mmmh hivi ana degree ya nin ..au nawaza lakin wanapokuwa kwenye maandalizi ya umiss ndo wanatunukiwaa hizo shahada ?? Nawaza tuu
 
Inatusaidia nn sisi?? Jaribuni kuacha kuacha maisha ya watu yaende ...
Angalia mambo yako maliza shda na matatzo yako hayo ya wengne hayakuhusu wala hata ukijua haitasaidi lolote
Wewe tokea uwe siriazi hivo na maisha, una kipi ulichowazidi wanaoishi kwa kufuatilia maisha ya watu kwa mfano mtu kama SHIGONGO ............. (kumbuka Shigongo anamiliki vitu vya thamani sana kimojawapo ni DARLIVE)
 
1477834936242.jpg
 
Inatusaidia nn sisi?? Jaribuni kuacha kuacha maisha ya watu yaende ...
Angalia mambo yako maliza shda na matatzo yako hayo ya wengne hayakuhusu wala hata ukijua haitasaidi lolote
Shida zipo tu na haziwezi kwisha, ila kwenye mashaka lazima tuseme kama wazalendo hii ni miss TANZANIA inabeba sura ya nchi na sio miss LUKUMAY. Atakapoenda huko kwenye dunia atabeba bendera ya nchi.
 
Ndio maana waliyahamishia Mwanza. Hongera zake Miss.
 
Back
Top Bottom