niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
noma sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tokea uwe siriazi hivo na maisha, una kipi ulichowazidi wanaoishi kwa kufuatilia maisha ya watu kwa mfano mtu kama SHIGONGO ............. (kumbuka Shigongo anamiliki vitu vya thamani sana kimojawapo ni DARLIVE)Inatusaidia nn sisi?? Jaribuni kuacha kuacha maisha ya watu yaende ...
Angalia mambo yako maliza shda na matatzo yako hayo ya wengne hayakuhusu wala hata ukijua haitasaidi lolote
Shida zipo tu na haziwezi kwisha, ila kwenye mashaka lazima tuseme kama wazalendo hii ni miss TANZANIA inabeba sura ya nchi na sio miss LUKUMAY. Atakapoenda huko kwenye dunia atabeba bendera ya nchi.Inatusaidia nn sisi?? Jaribuni kuacha kuacha maisha ya watu yaende ...
Angalia mambo yako maliza shda na matatzo yako hayo ya wengne hayakuhusu wala hata ukijua haitasaidi lolote