Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Asalaam
Kwa mliowahi kutumia na mnaotumia mafuta ya rapid clair,white express na queen elisabeth naombeni mnipe feedback,na matokeo mmeanza kuona baada ya mda gan wa matumizi?
 
mie yalinitoa vyunusi kbs! ngoz yangu ya mafuta nilijuta
me ule ugumu wake ndo ulinishinda mafuta kujipaka mpaka utumie nguvu jamani, alafu sioni tofauti yoyote kwenye ngozi nikajirudia zangu kwenye Revlon
 
me ule ugumu wake ndo ulinishinda mafuta kujipaka mpaka utumie nguvu jamani, alafu sioni tofauti yoyote kwenye ngozi nikajirudia zangu kwenye Revlon


hata mm sikuona kittu! magumu mnoo
 
Queen elizabeth kama mtu anataka kutumia bora apake tu mwilini sio kwa usoni, kuna cream nzuri ya usoni inaitwa Botuoer ni nzuri mno wapendwa huwezi kujuta kuitumia


inauzwaje? haina madhara ? hydroquon sijui
 
haina madhara yoyote, na inamkubali mtu yoyote, jaribu utaniambia. kuna dada huwa namuagiza yeye anaagiza moja kwa moja nje anauza elfu 30 ila mwenge wanaziuza elfu 35, sema mwenge siwaamini sana unaweza kumbana na fake
Tutazipataje hizo bidhaa mkuu
 
duh wa mikoani imekula kwetu! sn pimples ila nitaitafta !asante kwa kushare mamy
 
Back
Top Bottom