Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

me ule ugumu wake ndo ulinishinda mafuta kujipaka mpaka utumie nguvu jamani, alafu sioni tofauti yoyote kwenye ngozi nikajirudia zangu kwenye Revlon
Mi natumia ya Nazi tu, yapo vizuri hakuna chunusi wala mini, Revlon inanitoa chunusi, Nivea na yenyewe sio, Vaseline nayo hovyo tu na mengineo mengi, nimejirudia kwenye Nazi yangu aaah, safi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shoga angu ila uanamke kazi, ukisikia tu kuna kakipodozi fulani, roho ishashtuka haha
yaani mimi bora nilale njaa ila niwe na vipodozi vyangu
hahahha mie nna mafuta ya nywele aina 4 hapa hahaha! tuna kazi! tena kazi kweli kweli na vile ngozi hazina shukran bas uwiii! tuitafte tu...
 
Tutumie kapicha ka hiyo cream ili tusome ingredients zake!! Samahani lakini...

Sent using Jamii Forums mobile app

Tutumie kapicha ka hiyo cream ili tusome ingredients zake!! Samahani lakini...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sijui sana kuhusu utofauti wa ngozi, ila tu naweza jitolea mfano mimi, kuna kipindi uso wangu uliharibika sana nikahangaika nikakata tamaa, kuna mwenzangu yeye pia alikuwa kama mimi ghafla nikaona anabadilika nilipomuuliza akaniambia kuhusu hiyo cream mwanzo niliogopa mana naijua ngozi yangu ya uso ilivyo sensitive ila akanishawishi sana niijaribu nikasema anyway kwa kuwa nishaharibika ngoja tu nijaribu, I swear to God sasahivi wanawake wengi wakiniona either wananiangalia sana usoni nazani wanajiuliza natumia nini kwa jinsi nilivyo soft na wengine wananiuliza natumia nini kabisa dada kwani unapaka nini.
 
Attachments

  • BOTUOER CREAM.jpg
    BOTUOER CREAM.jpg
    41.6 KB · Views: 360
yaani mimi bora nilale njaa ila niwe na vipodozi vyangu

hahahahahha kwakweli na mie urembo tu naupenda jaman!ukinikuta wknd sasa uwiii scrub full najisoak kwenye ndoo miguu yote nimezamisha hahaa natupia kila kitu! bas huby ananisogezeaga na chumv na mwiko! najiscurub na sukar na asali na machicha na weka na baking powedr hehehehe !analeta na mwiko anaweka hapo chini!huwa anchekaaaaaaaaaa
 
jmosi najipiga mask za hatari asubuhi siku hizi natumia ile black ya tango juzi kuna mgeni alikuja kidogo azimie mchana najisugua na ile ya sandalwool ipo kama kinyesi yaani ahahaaa ukiniona utazimia najisugua na pumba na machicha ya nazi. manjano sipendi inachafua sana bafu unapata adhabu ya kusugua bafu masaa nimeachana nayo kitambo
 
ila mumeo chizi ahahaa sasa mwiko wa nini? mwambie akuletee na hotpot ujipakulie humo
 
jmosi najipiga mask za hatari asubuhi siku hizi natumia ile black ya tango juzi kuna mgeni alikuja kidogo azimie mchana najisugua na ile ya sandalwool ipo kama kinyesi yaani ahahaaa ukiniona utazimia najisugua na pumba na machicha ya nazi. manjano sipendi inachafua sana bafu unapata adhabu ya kusugua bafu masaa nimeachana nayo kitambo

hahaha hyp pumba nimewah shuhudia biarus kasuguliwa na pumba wee!alikua nyiritiiiiiii1 mie mwenyew wknd huwa nashnda design hizo hahahaa eti kidg azimie hahaha!....
 
Queen elizabeth kama mtu anataka kutumia bora apake tu mwilini sio kwa usoni, kuna cream nzuri ya usoni inaitwa Botuoer ni nzuri mno wapendwa huwezi kujuta kuitumia
Kwa ngozi gani??
 
hahaha hyp pumba nimewah shuhudia biarus kasuguliwa na pumba wee!alikua nyiritiiiiiii1 mie mwenyew wknd huwa nashnda design hizo hahahaa eti kidg azimie hahaha!....
unajua kuwa na ngozi nzuri huitaji kujichubua mi hayo mavipodozi ya congo au cote divour au china sinunui mi natumia vitu vya south africa au nigeria tu.unajua wasouth hawajichubui wanafanya tu skin toning sio bleach
 
yeah wasauzi wana vipako vzr sana sana!
 
mie yalinitoa vyunusi kbs! ngoz yangu ya mafuta nilijuta
Sasa hivi kuna watu washachakachua, queen elizabeth ile ya mwanzoni ndio ilikua nzuri..yaani ilikua ukipaka unapendeza balaa ila hii ya sasa hata utumie vipi huoni mabadiliko yoyote kwenye ngozi
 
Back
Top Bottom