Ila sijui sana kuhusu utofauti wa ngozi, ila tu naweza jitolea mfano mimi, kuna kipindi uso wangu uliharibika sana nikahangaika nikakata tamaa, kuna mwenzangu yeye pia alikuwa kama mimi ghafla nikaona anabadilika nilipomuuliza akaniambia kuhusu hiyo cream mwanzo niliogopa mana naijua ngozi yangu ya uso ilivyo sensitive ila akanishawishi sana niijaribu nikasema anyway kwa kuwa nishaharibika ngoja tu nijaribu, I swear to God sasahivi wanawake wengi wakiniona either wananiangalia sana usoni nazani wanajiuliza natumia nini kwa jinsi nilivyo soft na wengine wananiuliza natumia nini kabisa dada kwani unapaka nini.