Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Nilitumia queen elizabeth lakini sikuona tofauti yoyote nikaamua kuyaacha kwanza magumu mno khaaaAsalaam
Kwa mliowahi kutumia na mnaotumia mafuta ya rapid clair,white express na queen elisabeth naombeni mnipe feedback,na matokeo mmeanza kuona baada ya mda gan wa matumizi?
Nilitumia queen elizabeth lakini sikuona tofauti yoyote nikaamua kuyaacha kwa magumu mno khaaa
me ule ugumu wake ndo ulinishinda mafuta kujipaka mpaka utumie nguvu jamani, alafu sioni tofauti yoyote kwenye ngozi nikajirudia zangu kwenye Revlonmie yalinitoa vyunusi kbs! ngoz yangu ya mafuta nilijuta
me ule ugumu wake ndo ulinishinda mafuta kujipaka mpaka utumie nguvu jamani, alafu sioni tofauti yoyote kwenye ngozi nikajirudia zangu kwenye Revlonmie yalinitoa vyunusi kbs! ngoz yangu ya mafuta nilijuta
me ule ugumu wake ndo ulinishinda mafuta kujipaka mpaka utumie nguvu jamani, alafu sioni tofauti yoyote kwenye ngozi nikajirudia zangu kwenye Revlon
Kila nikinunua lotion mpya inanishinda najirudia kwenye Revlon.... Kwa kweli long live Revlon [emoji38]me ule ugumu wake ndo ulinishinda mafuta kujipaka mpaka utumie nguvu jamani, alafu sioni tofauti yoyote kwenye ngozi nikajirudia zangu kwenye Revlon
Team Revlon, kwa kweli long liveKila nikinunua lotion mpya inanishinda najirudia kwenye Revlon.... Kwa kweli long live Revlon [emoji38]
Queen elizabeth kama mtu anataka kutumia bora apake tu mwilini sio kwa usoni, kuna cream nzuri ya usoni inaitwa Botuoer ni nzuri mno wapendwa huwezi kujuta kuitumia
haina madhara yoyote, na inamkubali mtu yoyote, jaribu utaniambia. kuna dada huwa namuagiza yeye anaagiza moja kwa moja nje anauza elfu 30 ila mwenge wanaziuza elfu 35, sema mwenge siwaamini sana unaweza kumbana na fakeinauzwaje? haina madhara ? hydroquon sijui
Tutazipataje hizo bidhaa mkuuhaina madhara yoyote, na inamkubali mtu yoyote, jaribu utaniambia. kuna dada huwa namuagiza yeye anaagiza moja kwa moja nje anauza elfu 30 ila mwenge wanaziuza elfu 35, sema mwenge siwaamini sana unaweza kumbana na fake
huyo nnaemuagiza mimi anapatikana kwa namba hii 0782 - 123 345
huyo nnaemuagiza mimi anapatikana kwa namba hii 0782 - 123 345Tutazipataje hizo bidhaa mkuu