Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

Sasa hivi kuna watu washachakachua, queen elizabeth ile ya mwanzoni ndio ilikua nzuri..yaani ilikua ukipaka unapendeza balaa ila hii ya sasa hata utumie vipi huoni mabadiliko yoyote kwenye ngozi
wewe ukiona kipodozi kinatangazwa sana insta achana nacho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najuta Hata kuyafahamu. Niliishia kuyagawa,now days feki kibwena madukani

hahha kweli bwana feki nying sana madukan! upake kuanzia shingn tu aisee! pyee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najuta Hata kuyafahamu. Niliishia kuyagawa,now days feki kibwena madukani

hahha kweli bwana feki nying sana madukan! upake kuanzia shingn tu aisee! pyee
 
Sasa hivi kuna watu washachakachua, queen elizabeth ile ya mwanzoni ndio ilikua nzuri..yaani ilikua ukipaka unapendeza balaa ila hii ya sasa hata utumie vipi huoni mabadiliko yoyote kwenye ngozi

kweli aisee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najuta Hata kuyafahamu. Niliishia kuyagawa,now days feki kibwena madukani
Sasa hivi kuna watu washachakachua, queen elizabeth ile ya mwanzoni ndio ilikua nzuri..yaani ilikua ukipaka unapendeza balaa ila hii ya sasa hata utumie vipi huoni mabadiliko yoyote kwenye ngozi
yeah wasauzi wana vipako vzr sana sana!
ila tuseme ukweli ukitaka kuwa na ngozi nzuri lazima ule vizuri,unywe maji ,uoshe ngozi vizuri halafu usiwe na kipodozi kimoja.unaweza ukawa na lotion nzuri ila sabuni unayotumia ni mbaya . ukitaka uwe msupuu lazima uwe na balance flani hivi sasa mtu unanunua lotion ya elf 50 huna sabuni ,huna scrub ,huna toner ?utabaki hivohivo kulaumu
 
Miss Natafuta na mie nilikua nakuja sema maji muhimu na balanced diet! mie natumia sana asali na maji aiseeehata hapa nakunywa maji mix na asali! msos muhimu sana na mboga za majan
 
mimi hapa nakunywa tango ,asali,mdalasini karoti halafu siku nikioga huwa najipaka mafuta ya kutosha ya nazi,body cream nakolea haswa.kuna watu wanapaka mafuta kwa mbaali .ngozi inakuwa haina afya
 
yap yap hyo inapunguza mwili sana tu! nimeitumiaga kipind! yeah nazi kwangu sikosi usk najikandika nazi na mix na vaseline! safi mnoo! .. sema nimekuwa na mba za nywele sijui kumix mix mafuta? ah... nna nywele ndef ila mbaa
 
tumia radiant ipo fasta kumaliza
 
looh virgin hiyo harufu mumeo atakupa talaka ahahaha

hahaha inachoma kwa pua! wala hanaga shida! naipaka nikiwa saloon mara nying lol! hv umetumiaga products za 'elf'? nahitaj nizijaribu haswa foundation na powder !... sleek huku nilipo fekelo! au yeyot aliweah tumia hiz poda za 'elf'
 
situmii poda yoyote . kama mwaka sasa natumia tu liquid foundation kwa mbaali .naona kama powder zina chunusi sanna
 
aina gan hyo liquid foundation? yes hata foundation ukipaka unapunguza mng'ao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…