Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

unajua kuwa na ngozi nzuri huitaji kujichubua mi hayo mavipodozi ya congo au cote divour au china sinunui mi natumia vitu vya south africa au nigeria tu.unajua wasouth hawajichubui wanafanya tu skin toning sio bleach
Tutajie basi hivyo vya Nigeria na South Africa tukatafute shogaangu...
 
Queen elizabeth kama mtu anataka kutumia bora apake tu mwilini sio kwa usoni, kuna cream nzuri ya usoni inaitwa Botuoer ni nzuri mno wapendwa huwezi kujuta kuitumia
Hiyo ndio ninayotumia now kwa muda wa mwezi sasa, ni nzuri mnoooo.
 
Mimi natumia queen elisabeth. Nina miaka 3 sasa naitumia. Imenifanya niwe na rangi moja mwili mzima. Inshort ukipata the original one's yanasaidia. Ukiona magumu unaweza ukayapaka na glycerine or rosewater.
 
Yaani wewe sijui mtu wa ngapi unaongelea haya mafuta kuna rafiki yangu mmoja anatumia haya yeye anachanganya na parachute kawa na ngozi tamu balaa, ngoja nimalize haya yangu nihamie haya
 
Queen Elizabeth og yametengenezwa nchi gani wapendwa, Leo nimeenda dukani kuyafata nilipoona ona tu ni made in courtdevoire sijui cot what nikakosa imani nayo kabisa, ikabidi tu nije na Shea butter, i
 
Naombeni kujua uzuri wa haya mafuta.. kennite na boutoure..
 
Naombeni kujua uzuri wa haya mafuta.. kennite na boutoure..
Yana chubua japo kidgo wanasema kung'arisha

Boutuor sijui kwny boksi lake tu wameandika whitening nini sijui

Queen Elizabeth afadhali kidogo japo nayo inang'arisha slowly but sure unawakaaa na hivi yametokea West Africa wanapenda weupe haoo
Ndo vile mtu akiona anakua mweupe anaona ndo uzuri huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…