Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete


Asante kwa mawazo yako. Nitajaribu pia ivyo.
 
Au atafute Toyota sprinter
 
Simple.

Jaza full tank, set odometer ya trip a to 0.

Tembea km kama 100 au 150 katika 80kph.

Rudi petrol station ileile jaza full tank tena.

Hizo lita zitakazosoma ndo ulizotumia kwenye hizo km 100.

Kama umejaza lita 20 basi ujue ulitumia lita 20 kwenye hizo km 100 ulizotembea.
 

Mkuu vipi hii model ya kuazia 2008 - 2013? GRS 200
 
Kwa hapa Dar hio speed ataipatia wapi bila kupigwa mkono? Labda atembee usiku wa manane!
 
Huyo ni muongo hakuna cc ya 3000 kwa toyota crown baada ya 2500 inayofata ni 3500 ambazo nyingi ni hybrid then inakuja 4300cc ambazo hizo cc utazikuta ktk crown majesta v8
Mjomba usiongee usichokijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ no research no right to speak!
Crown iko kwenye GR engine family ambayo ni successor wa JZ engine family!
GR Engines:
1GR-4000cc ama 4.0L
2GR-3500cc ama 3.5L
3GR-3000cc ama 3.0L
4GR-2500cc ama 2.5L
Engine zinazotumika kwenye Crown haswa ni 4GR na 3GR the same as kwa Mark X!

2GR wanaitumiaga kwenye sedan ya Camry pia crossovers SUV za Toyota kama Highlander, Venza na kwenye full sized SUV kama Prado ndio utaikuta ina 4GR ama kwenye 4Runner au Surf!

Kwenye Lexus wanaiwekaga 2GR kwenye IS350, RX350 n.k
 
Luxury ambayo huwezi kutoka nje ya jiji ni gereza la kifahari!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kiukweli mimi gari ambayo nikitaka kwenda kijijini kwetu naanza kujichanga nauli za bus siwezi kuinunua kabisa
 

Uko Sahihi mkuu

Nimeongea na mwenye gari kamaa hii akaniambia hivi

Kwa trip za mjini gari yake inaenda kutoka 7-9kpl

Na kwa safari za mbali imeenda adi 13kpl

Lakin hii kwa gari yake ambayo engine haijachoka na service iko wakat.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…