Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete

Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete

Mjomba usiongee usichokijua [emoji23][emoji23][emoji23] no research no right to speak!
Crown iko kwenye GR engine family ambayo ni successor wa JZ engine family!
GR Engines:
1GR-4000cc ama 4.0L
2GR-3500cc ama 3.5L
3GR-3000cc ama 3.0L
4GR-2500cc ama 2.5L
Engine zinazotumika kwenye Crown haswa ni 4GR na 3GR the same as kwa Mark X!

2GR wanaitumiaga kwenye sedan ya Camry pia crossovers SUV za Toyota kama Highlander, Venza na kwenye full sized SUV kama Prado ndio utaikuta ina 4GR ama kwenye 4Runner au Surf!

Kwenye Lexus wanaiwekaga 2GR kwenye IS350, RX350 n.k
Fuel Consumption ikoje kwa hii ya 3000cc?
 
Hv Bongo Kuna lami iliyonyooka? Achen ujinga
Mlimani mpaka Mwananchi pamenyooka mno hasa kwakuwa kuna kituta mshenzi kimoja ambacho unaweza kukiparaza hata ukiwa 100KPH bila madhara.

Ukivuka relini pale mpaka Buguruni ni kibati tu hasa ukitembea mida ya saa 5 usiku
 
Back
Top Bottom