Naombeni info unywaji mafuta na menginayo ya Crown Athlete

Hahahahaha. Na wanajua wanaingia external. Wanapunguza mwendo.
Wanaotoka jeshini na ubungo maziwa wakifika pale junction wanakuwa wapole mana hata ka umelewa lazma akili ibaki kuwa unaingia main road na night watu wanaliunga tu so ukingia kichwa kichwa unaeza kutana na Semi kabisa

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…