Naombeni jina la Movie Hii

Naombeni jina la Movie Hii

Hiyo
51hJnR1JqBL._SY445_.jpg
 
Hii muvi niliichukia
Huyo jamaa(Psychopath) alikua haui watu wenye nywele ndefu bali alikua yupo obsessed na utengenezaji wa pafyumu ila hakupata chansi aliyohitaji kufanya kazi zake.
Lengo lake kubwa alikua anataka ku-Extract harufu ilipo kwenye nywele za wanawake na ili apate kiwango kikubwa cha harufu/pafyumu basi inabidi atafute mwanamke mwenye nywele nzuri. Alivyo mpuuzi alikua haoni jambo analofanya sio kosa
 
Nina la hii movie inaitwaje?
 
Back
Top Bottom