Naombeni kanuni za kuishi na bosi mwanamke

Naombeni kanuni za kuishi na bosi mwanamke

Nidham,flexibility, jali mda,punguza mdomo,punguza vikundi,kuwa mkweli,unapokwama toa taarifa mapema
 
Napenda kujua hivi mabosi wanawake huwa wana-watreat vipi subordinates ambao ni wanawake? Wako fair kwa subordinates wa jinsia zote au hapana?
 
Dr Haule F hebu kuwa serious. Yaani kutukana matako mbele ya boss kwenye kikao hakuna aliyereact? hyo kampuni ni ya kihuni au labda hicho kikao mlikifanya kijiweni au labda huyo boss ni mjomba wako.
 
Back
Top Bottom